Elizabeth Ernest uliyekuwa katibu wetu wa Social Science (BA Economics) napenda nikupongeze kipekee kwa kuwa mwanaCASFETA pengine wa kwanza kuwa kwenye kundi la wanafunzi wa kuwakilisha degree program zao kwa best degree
Iliandikwa hivi:
1.2 Chairman of Council Prize Best Final Year Students in each degree programme - 1.2.38 Bachelor of Arts in Economics Ernest Elizabeth
Hongera sana mdada
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni