Jumatatu, 26 Agosti 2013

Maganga wa Iringa anena tena


 
Picture
Tunauza mashamba yenye miti pamoja na yale ambayo hayana miti (Gharama ya kukumilikisha shamba tupu kwa ekari moja ni Tsh 200,000/= tu).

Ukinunua shamba ambalo halina miti tunakusaidia upandaji miti kwa gharama nafuu.

Wale wanaonunua mashamba yenye miti tutaendelea kuwasaidia katika utunzaji mpaka msimu wa kuvuna.

Gharama ya kumilikisha ekari moja (1) pamoja na miti ya mwaka mmoja (1) ni 400,000/= miaka 2 Tsh 550,000/= miaka 3-4 Tsh 700,000/=

Umilikishaji wa ardhi na uuzaji wa miti pamoja na ardhi vyote tunavifanya kwa kuzingatia taratibu za Sheria ya Ardhi ya mwaka 1999, sheria namba 5.

Mliopo nje ya mji wa Iringa na waliopo nje ya Tanzania, wasiliana na meshackmaganga@gmail.com , 0767 48 66 36 0713 48 66 36  kwa ufafanuzi, maelekezo, ushauri na utaratibu wa kununua.

KWA WATAKAOPENDA KUFAHAMU FAIDA YA KILIMO CHA MITI TUWASILIANE…

‘USIKUBALI KUWA MNYONGE WA KIUCHUMI, NDANI YA NCHI YA TANZANIA’


Source: http://www.wavuti.com/4/post/2013/08/mashamba-ya-miti-na-yasiyo-na-miti-yanauzwa-iringa.html#ixzz2d4EUp3zF

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni