Jumatano, 7 Agosti 2013

Ujumbe mzito

Mshirika wetu mmoja ameandika hivi


i hope you are doing fine.
Napenda kuwakumbusha wana cckwa cc kwokwote waliko kujitahidi kujali muda katika mambo yote wanayofanya, pia wasisahau kuwa watanzania ni taifa teule la Mungu hivo wathamini utu wao mwisho tusiache kupiga vita upuuzi (yaani kuacha kufanya kile tunatakiwa kufanya kwa wakati unaotakiwa) naomba next time nielezee maana ya upuuzi unaotokana na kupuuza au kupuzia. BE BLESSED

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni