Jumanne, 25 Juni 2013

Ipendekeze blog hii kwenye google!

ujue, tuna malengo ya kuwaalika makampuni kuwatumia washirka wetu kwenye events zao mbalimbali

tunalenga pia wawe wanatujulisha ratiba zao na matangazo yao ya internships, temporary na contract works

tunawaza tena kuwaandaa wasirika wetu wawe bora kiasi cha kuingia soko la ajira za dunia nzima so ni mwanzo tu ila kila unapoona "ipendekeze kwenye google" hapo chini pls kila siku fanya hivyo na matokeo yake utaona siku sio nyingi

Wasalaam!

Maoni 1 :

  1. http://www.wavuti.com/4/post/2013/06/infographic-how-to-have-an-effect-on-student-achievement.html

    JibuFuta