Blog yetu
Itatumika kuelezea fani mbalimbali za vyuo vikuu ambavyo tutaanza na shahada za chuo kiuu cha Dodoma
Tutaueleza umma kuhusa kazi ziwezazo kufanywa na vijana baada ya kuhitimu chuo na kuapata shahada
Tutawaalika makampuni mbalimbali ili watangaze nafasi za interships, volunteering, temporary jobs .nk.
tutaungana na blogs nyingi za aina yetu kama vile jobstanzania, aftercollege, enroll, ......
Tutawatafutia continuous students fursa za field training
Tutakuwa na shuguli nyingi sana na tutaajiri pia, HALELUYA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni