Jumatano, 31 Julai 2013

Unamkumbuka Elizabeth? Katibu mkuu wa CASFETA Social mwaka 2011/12?

Ametutumia email hii hapa

Namshukuru MUNGU na pia nawashukuru cckwacc kwa maombi na concern yenu
nimepata kazi katika shirika la compassion kondoa kama mhasibu.
Karibuni sana kondoa

Eliza ndiye huyu wa kwanza kushoto kama ulimsahau!

Amekuwa mfano kutoa mrejesho, mwiige

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni