Jumatatu, 7 Oktoba 2013

Sasa unaweza kuwa na namba ya fax ambapo jumbe zitakuja kwenye email yako...soma zaidi


Pata namba yako ya bure ya fax iliyounganishwa na anuani yako ya barua pepe sasa, jisajili kwenye www.Tanfax.com/Tanzania au kwa urahisi zaidi jibu taarifa hii
Fax zinazopotea, laini za fax zisizopatikana, kutokuwepo na usiri na ubovu wa mashine za fax…
Haya yanafahamika?
Ndio… Hivyo sasa, jaribu bure huduma zetu za fax kwenda barua pepe !!! Kwa huduma ya fax kwenda barua pepe, unaweza sasa kupokea fax moja kwa moja kwenye kompyuta yako bila gharama yeyote.
Kampuni yako itahitaji namba za bure za fax kwa wafanyakazi wake, waweza tutumia listi ya anuani za barua pepe zenye kuhitaji fax namba za bure.
KWA NINI HUDUMA HII NI BURE
Mtu anaetuma fax analipia gharama za utumaji fax kama ilivokuwa zamani
FAIDA ZA HUDUMA ZETU
  • Fax zinazoingia ni bure, hazina gharama
  • Hakuna kuseti chochote au malipo ya menejimenti
  • Fax yako inajiseti papo kwa papo.
  • Fax inafikishwa kwenye inboksi yako ya barua pepe
  • Ubora halisi wa maandishi
  • Inatumika kwenye mazingira rafiki kwani hupunguza hewa ya ukaa na hivyo kupunguza alama za ukaa
  • Fax zinazopokelewa zinaweza kupelekwa tena kwenye anuani ya barua pepe yeyote, duniani
  • Namba ya fax haibadiliki daima unapohamisha ofisi au makazi
  • Unaokoa utumiaji mwingi wa karatasi,wino, matengenezo ya fax na kodi ya huduma.
  • Fax line inapatikana muda wote
  • Fax zako zitakuwa foleni wakati seva za barua pepe hazitafanya kazi , hivyo hakuna upotevu wa fax.
  • Laini za Fax zinaweza kutumiwa kama laini za simu za maongezi
  • Fax zako zinaweza kupokelewa popote duniani iwapo tu una anuani ya barua pepe.
  • Fax zinahifadhi usiri kutokana na kupokelewa moja kwa moja kwenye anuani ya barua pepe
  • Watumiaji wanaweza tunza fax kijitali na kuzitoa bila ya kutumia taratibu ndefu ya kuskani
  • Spidi ya uunganishaji wa fax ni sawa na spidi ya uunganishaji intaneti
  • Fax namba hazina namba za utambulisho wa eneo, ni namba za utambulisho wa nchi.
NITAJUAJE NIMEPATA FAX
Fax yako mpya itaunganishwa na anuani yako ya barua pepe na kama mtu anakutumia fax ( kwenye namba yako mpya ya fax) utaipokea fax hiyo kama kiambatanisho kwa mfumo wa PDF/TIFF katika barua pepe yako
MCHAKATO WA FAX KWENDA BARUA PEPE
  1. Tuma namba yako mpya ya kipekee ya fax kwenda barua pepe 073xxxx kwa wafanyakazi wenzako, wateja na marafiki.
  2. Watumaji wataendelea kukutumia fax kama kawaida yaani kwa mtindo ule ule wa zamani uliozoeleka.
  3. Utapata taarifa kwenye barua pepe yako kwa fax iliyoingia pamoja na kiambatanisho kwa mfumo wa PDF/TIFF
  4. Fungua kiambatanisho cha mfumo wa PDF/ TIFF na angalia fax yako.
KUJISAJILI KUPAATA NAMBA YAKO YA BURE YA FAX JIBU BARUA PEPE HII
TAFADHALI TUMA BARUA PEPE HII KWA WAFANYAKAZI WENZAKO ILI NIWAPATIE PIA FAX KWENDA BARUA PEPE NAMBA YA BURE
Wenu
Deon
(Mkurugenzi Mkuu)
Kind Regards
Deon De Jager
(Managing Director)
Cell : +2783 516 0421
Tel :+2711 201 7400
Fax : 086 641 3489
E-maildeon@ivt.co.za

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni