Ijumaa, 28 Juni 2013

Fursa nyingine ya July 2013

Don't miss

Fanya kila njia fuatilia hizi habari kama zina mashiko kuwa.........

KAMBI YA VIJANA
"Badilisha FIKRA kutoka mtazamo HASI kwenda mtazamo CHANYA, pamoja na TAMASHA la Muziki za KANTANTA"

Kuanza tarehr 29 JULAI -2 AGOSTI 2013

MAHALI: Mlimani City Conference Centre na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

UTARATIBU
Kutakuwa na hotuba kutoka kwa viongozi wa kitaifa pamoja na elimu ys ufahamu kutoka kwa mtaalamu wa masuala ya vijana. Pia lugha mbalimbali kama za hispania, korea, china, russia, kiingereza na TAE KWO DO, YOUTH DANCE na MARATHON. MICHEZO YA UTAMADUNI NYIMBO NA KWAYA YA GRACIOIS CHOIR NA MASOMO PIA.

JINSI YA KUJIANDIKISHA
1. Tigo Pesa
Tuma 10000tsh kwa namba 0659152233 au 0659152277
2. M Pesa
Tuma 10000tsh kwa namba 0754999634

Kisha tuma namba ya muamala/kumbukumbu namba, jina lako, umri na anuani kwa namba hizo

Kwa maelezo zaidi piga namba hizo.

Kumbuka ni siku 5 utakula kunywa na kushiriki vitu vyote hivyo, kitabu na t shirt itatolewa bure.

Kumbuka kubeba daftari, kalamu. Vitu vya choo na kuoga, nauli ya kurudi kwako na viatu vya marathoni.

Be a change agent, you are who you are and you will be as per Network and Exposure.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni