Ijumaa, 5 Julai 2013

Mwaliko wa kujipatia ujuzi!


  • Mwamtobe A Mwamtobe MHESHIMIWA KWAMBA NDO UNAHITAJI HAO WATU AU? Herman Longo
  • Herman Longo Organization yetu ndo kazi yake, to empower idle expertise in this world.Kama wapo waje tu tutawafundisha namna ya kuwa wabunifu. Sisi tumezaliwa enzi za azimio la Arusha kwa hiyo kama kuna experty ambaye yupo idle aje tuongee naye tuone namna gani tumpanua kimawazo, sisi tunaamini ajira na fedha zipo kichwani mwa mtu. sasa hivi nipo njombe kwenye semina inayoongozwa na shirika lisilo la kiserikali kutoka UK liitwalo Teach A Man to Fish. hawa nimeona ndo wabia wakuu wa organization yetu. Napata dozi nyingine hapa ya Azimio la Arusha kwa ajili ya kuwagawia dose vijana wa digitali waliozaliwa wakati Azimio la arusha wameshalichakachua. Sisi tuliozaliwa kipindi cha Analogia tunajua mambo mengi sana. waje tu lakini lazima afanye paper yetu ndipo wapokelewe kuongea nasi.
  • Justine Samson Herman Longo unasemaje au unaniambiaje kwa wale wanafunzi ambao ni mwaka wa kwanza, wa pili au wa tatu ila hawakuhitimu shahada zao na wanatafuta mahali pa kujitafutia practical training? Kazi yenu ni njema sana

Maoni 2 :

  1. We are to support people, we are to train them and we are to guide them so that they mighty be able men to carry out an activity or a task.
    This is our duty and we are on the track accomplishing it

    JibuFuta
  2. Join with us to help universities students to become a full resource in their localities

    JibuFuta