Jumatano, 17 Julai 2013

Unasumbuliwa na 'notifications' nyingi toka FB?


Hello!

While hoping you are doing well wherever you are,

Today we are instructing you to select all the massages from fb in your email inbox and then click spam - namna ya kuSelect message ni ukiangalia kushoto mwa kila email usiyofungua, kuna kabox, tick or click hicho kiBox - fanya hivyo kwa email zote uzitakazo halafu juu pale kwenye menu kuna reply, delete.......na hatimaye spam, gonga hiyo spam na itakuwa email zote za fb hazitaingia tena kwenye inbox yako

Ukifanya hivyo na ikawa kweli, jitahidi kusema 'asante kwa kunielimisha' ni kwasababu kuna watu bana wanajua kukaa kimya na mpaka sasa hatujui hata walipo na wanaendeleaje.

Jamani for the sake ya cckwacc, si unajua tu kuwa kuna siku tumekutumia email, si upange siku ambazo utaingia kwenye email yako kujibu tu walau email moja?
Tonyua kwa kimasai ni jitahidi kuwa shirikishi

Uwe na siku njema,
Kwa niaba ya cckwacc.blogspot.com 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni