Alhamisi, 11 Julai 2013

Ushuhuda!

Ni email mojawapo kati ya nyingi tulizozipokea


shalom kaka!habar ya uzima?kuna zile NGOs mlizoweka kweny blog ya
cckwacc nimewasiliana na director wa NGO mojawapo akaniambia nitume
CV!ila course wanazofundish sas hiv wamesema wanadil na mambo ya
business management,tourism,early childhood education&computer
courses!akaniambia nichague course mojawapo inayofit na field
yangu!sas nimeshindwa kuelew ukifik kul wanakup training au wanataka
watu weny profesional ya hizo course alizoniambia! maanake me nilitaka
niombe hiy ya early childhood educati



Msisite kutuma, kuwasiliana, kuApply, kuuliza, kutafuta, kuhabarisha - LAZIMA TUTOKE

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni