Jofu Charles aliyekuwa akifanya BA-Philosophy na mtu mwingine mmoja wamewasiliana na NGO moja iitwayo ARUPA iliyowakubali wajitolee hapo lakini watu wengine watatu wanahitajika hapo hapo mjini DODOMA - Tafadhali, cckwacc inahamasisha mwanaCASFETA safari hii asikae home bure bila kujipatia ujuzi - jitokeze
Wakati uo huo, Joseph Mesebo aliyekuwa akifanya BA-BcomFinance yupo Halmashauri ya mji wa Tunduma akijitolea kujenga taifa - tunawahamasisheni pia mpende kutoa shuhuda ili kuwaInspire wenye woga bado wachukue hatua kwenda kuongea na maDAS, maDED, madiwani, wakuu wa idara, .....
Riziki ni kama hivyo, lazima inapatikana kwa kujituma na wakati mwingine kwa kujitolea kuhatarisha maisha yako ama ipe maneno picha hii kwa kurejea mwanaUDOM baada ya chuo na utafutaji wa kazi pia uanzishwaji wa ujasiriamali
Una habari kuwa hiyo ARUPA yenyewe waliipata via blog hii kwenye post yenye kichwa 'Those who wish to volunteer in Dodoma Region?'
JibuFutaUsipuuze vitu tunavyoweka hapa maana ni vya msingi sana na bila shaka hata wewe umeshakuwa shahidi
Wasiliana na Jofu kwa 0763991733 kwa maelekezo zaidi
JibuFuta