- Mwanaidi Msangi likes this.
- Justine Samson Huwa kuna mahali pa kuanzia kukanyaga halafu baadaye unatembea kufika Nanyumbu, Mkuranga, Mbula au hata St Joseph, ni wameanzia tu hapo maana waasisi nao walitokea hapo
- Herman Longo Du! Kama nao watajipokea hivyo itakuwa vizuri sana. Shida ni kwamba tulikuwa na hofu na wanafunzi wa chuo cha Dodoma kwa sababu wengi wamesomea Project planning lakini wakija huku kwetu hawawezi hata kutengeneza paper. tulichukuwa tunafanya ni kuwafundisha namna tunavyotengeneza paper lakini pindi unapowafundisha wanataka kulipwa fedha kubwa wakati unawapatia ujuzi. wengi tuamua kuwachukua lakini watulipe kwa kipindi tunachowafundisha kazi. tukiona ameanza kuwa na harufu tunayotaka sisi basi basi ndipo aajiriwe.
- Herman Longo Mheshimiwa Kingine wawe kweli na moyo wa kuijitolea sio kuja ofisini na kuchezea facebook tu muda wote. muda mwingi wameziba masikio na miziki, wadada kuvaa nguo za ufukoni badala ya nguo za kazini. wengi muda mwingi wapo na simu tu kuliko kufanyakazi. kwenye sector hii ya azaki waambie hawatakubalika. nazungumza kwa uzoefu na wanafunzi wa chuo kikuu si hicho tu na vingine hiki kizazi kipya kwenye matokeo ya vyeti wanaonyesha wasomi kwenye vitendo ni Zero. Wanapoomba kazi wanyenyekevu wakipata tu wanataka kusign kama serikalini halafu asubiri mwisho wa mwezi huku analipwa kwa kazi sio kwa siku. Na ikiwezekana atalipwa kwa masaa aliyofanyakazi ukitoa ya kuchezea facebook na kusikiliza miziki masikioni na simu alizopiga muda wa kazi.
- Herman Longo Kingine sisi tunafanyakazi vijijini tunapata shida sana ya mavazi ya hawa wadada. wananchi wanatunyanyapaa tukienda field na mdada aliyevaa nguo za kubana au fupi. wananchi hawawi wawazi kwetu kwa kujisikia vibaya kuona mtu mzima umetangulizana na mtu aliyevaa mavazi ya chumbani au disco au ufukweni hilo nalo wafundishwe ni mavazi yapi na yavaliwe wapi. wanapoenda kwa wananchi wavae mavazi mapana yasiyoonyesha maumbile ili hata sisi waajiri tujisikie vizuri. nashukuru chuo cha Tumaini iringa ambacho kimekazia mavazi sijui vyuo vingine sijatembelea
- Justine Samson NIMEYAONA MAONI HAYA NA KUYAWASILISHA KUNAKOHUSIKA NA UTAYARI UPO, WEWE UKISIKIA AZAKI INAYOTAKA HUO USHIRIKIANO, NIJUZE NIWAUNGE NAO HAO JAMAA JIRANI NA HAPO ILIPO IYO AZAKI
- Justine Samson TUNATAKA TUWAPIME, TUWAREKEBISHE, TUWAPIME TENA, TUWAONYE, TUWAPIME TENA MPAKA TUWE NA WATU BORA ILA MPAKA SASA, HAWA NILIOBAHATIKA KUWAJUA, WANA MOYO KAZI KABLA YA HELA, NA WAPO KUTAKA KUJUA ZAIDI HATA KILE WANACHOKIJUA TAYARI
- Herman Longo Mkuu hapo umeongea lakini sisi tutawahitaji sana mwakani. umeanzisha kitu ambacho sisi asasi yetu ndo lengo lake haswa!!! to empower the idle expertise ngoja nifike mbeya niwataarifu baadhi ya Asasi kama ninazozifahamu zilizokuwa zinawaogopa kuwachukua.
- Herman Longo UDF tunahitaji vijana wawili kwa sasa lakini watafanya paper yetu kabla ya kuchukuliwa. Tunahitaji Mkaka mmoja na mdada mmoja kwa majaribio. wasome www.udf.or.tz walete maombi na cv zao pia kwenye maombi waandike vision na mission zao binafsi tutawa judge kutokana na hilo.UDF was registered on September 28th 2004, (Certificate of Incorporation No 5018...See More
- Herman Longo Samahani tunawahitaji walisomea community development,sociology,education,au Project planning and management sio accountants.
- Justine Samson Ukifika wakati muafaka, wewe nielezee kijiji ama wilaya nikupe namba na jina la hao vijana halafu kwa sasa hapa mwanzoni, msiwahesabu kuwa wataalaam saana, oneni kama watu ambao unawagawia kidogo ujuzi ulionao ili kesho wafanye kazi nzuri.......tuandae rasilimali watu wetu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni