Get involved!
Envaya now makes it easier for you to interact with community initiatives in your area.
Below is a list of the organizations on Envaya requesting volunteers.
Note: All volunteer opportunities are submitted and coordinated by the organizations listed below, not by Envaya itself. Envaya does not verify the accuracy of these volunteer opportunities.
June 19
|
Local Entrepreneurship Network and Environmental Conservation (LENEC) - Local Entrepreneurship Network and Environmental Conservation (LENEC) seeks interested individuals to work with Organization as Volunteers for the community development at Fundraising Officer Post. The needed candidates should have the preceding qualification: – -A candidate should be... Read more
|
March 11
|
PEACE AND LOVE CARE CENTER (PLCC) - Support – Internship Program – Looking for ways to serve at PLCC? We’re ready to launch a 3 month internship program, giving you the opportunity to work alongside PLCC'S staff in our community development work in Tanzania for... Read more
|
January 5
|
LUSANGA ENVIRONMENTAL GRASSROUTES EMPOWERMMENT GROUP - Organization inakaribisha wadu wenye mapenzi meme katika utunzaji wa mazingira kuungana nasi kuhakikisha kuwa mji wa Turianai na vitongoji vyake vinanawiri kwa kuwa na uoto mzuri na kurejesha baioanwai zilizopotea kutokana na shughuli za kila siku za binadamu.
|
November 11, 2012
|
Society for Women and AIDS in Africa - Shirika la SOCOETY FOR WOMEN AND AIDS INA AFRICA (SWAA) linapenda kufanya kazi na watu mbalimbali wa kujitolea maeneo ya vijijini hasa wilaya ya Mvomero Wilaya hii ipo katika mkoa wa Morogoro, na kwa sasa shrika linaendesha mafunzo juu ya Haki za Binadamu hususani sheria za watoto. Elimu hii kwa sasa inatolewa katika kamati za shule, wazazi... Read more
|
August 29, 2012
|
DAKAWA PERFOMING ARTS ORG - DAPEA Inakaribisha wadau wa sanaa na utamaduni wa mwafrika ambao wapo tayarikufanya kazi pamoja na kutoa elimu kwa wanachama wake bila masharti yeyote. – Ikumbukwe kuwa shirika msingi wake ni wa huduma kwa jamii kama yalivyo mashirika mengine ya kirai hivyo suiala la kujitolea kwa manufaa ya jamii yanapewa kipaumbele. ..
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni