Ni ile siku nilipowaambia kuwa....... soma hadi chini
Haya tena! Kitu kipya nimekiona nikasema niwajuze wadau wa Civil Society
Ni blog!
Inakusanya wanafunzi wa vyuo vikuu, inawafundisha maadili ya kazi, kujitolea, uzalendo, ujenzi wa nchi na kubwa zaidi kujipatia ujuzi kwa namna yoyote ile
Ina details/contacts za wanafunzi hao na inajua hadi na wilaya na vijiji vijana hao walipo

Una kazi ya muda mfupi? Una kazi ya mkataba
Huwezi bado kuajiri na umeanzisha NGOs au kampuni?
Unafanya research na huna vijana wa kukujazia dodoso zako?
Unataka watu wa kushirikiana nao bila ya gharama?

Hiyo blog ukiitembelea na ukasema ulipo na hasa nyakati kama hivi vyuo vimefungwa, mbona kazi yako inafanyika mara moja tu?
Sio kwamba hawataki hela, na sio kwamba hawatakiwi walipwe, hapana, ni kwamba tunataka kufaana na ikitokea una pesa kidogo basi walau unawapa sabuni, nauli, na kuwakumbuka siku una kazi ya maana, ni vijana waadilifu.
Ndiyo tu inaanza na ina vijana 200 tayari wa chuo kikuu cha Dodoma wa fani mbalimbali mwaka wa kwanza mpaka wahitimu wanaoingia mtaani hii July kutafuta kazi
Nimeaambia haya, sio tu kama waajiri na watu wenye uwezo wa kuwapa ujuzi ila pia ni kwasababu sote tunapaswa kujishughulisha kuwasaidia hawa vijana wajiendeleze na kuwa bora popote wanapokwepo

Karibuni kwa maoni, mawazo, maswali ......nimeshawasilisha!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni