Unajua Recho Nswebe amepata muujiza wa kuwepo Kenya hivyo tukataka kujua ilikuwaje ili wewe uwe na moyo mkuu sana hata kwenye kujitolea tena ufanye kama kwa Bwana maana iko siku hiyo organization itakufaa...
Ilikuwa hivi
jinsi nilivyokutana nao ni ktk huduma na nilijitolea baadhi ya huduma
na kuparticipate ktk semina walizo organize.na kwenda kenya
wamenisponsor wao kuja japo nimechangia gharam kidogo hivyo nipo
training ya kujua howa task and project are conducted.
On 7/18/13, Justine Samson <justinesamson34@yahoo.com> wrote:
> Kwanza hongera!
>
> Pili, unajua kufupisha sana kiasi kwamba nashawishika kuongezea maneno ili
> tukichapisha kwenye cckwacc, mtu aelewe hivyo ili nisije kuongezea, naomba
> tena nikusubirie ili uongeze maneno kidogo, ilikuaje, after college
> mlikutanaje, umeenda kwa terms zipi, gharama ni vipi, kujitolea ni bure
> kabisa ama kulikuwa na .... ndo hivyo inatakiwa kujibu ili imtie mtu
> mwingine moyo
>
> Nakutazamia
>
>
> ________________________________
> From: rahel sajie <rahelsajo@gmail.com>
> To: Justine Samson <justinesamson34@yahoo.com>
> Sent: Thursday, July 18, 2013 4:48 PM
> Subject: Re: Kuhusu safari yangu ya Kenya
>
>
> Mungu mwema amenipa kibali cha kwenda kenya na organization ya Family
> Impact Tanzania.nilifanya volunteering kipnd cha nyuma na sasa nipo
> kenya for Training.Mungu anisaidie niwajibike ktk hilo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni